Jinsi ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Madini. Lemburis Kivuyo. March 22, 2018. CV, Huduma, Kuanzisha Kampuni/Biashara, Ujasiriamali. ... yenye mapato kwa mwaka kati ya dola za kimarekani milioni 50 mpaka milioni 500 na hazina uwezo wa kujenga miundo mbinu ya machimbo kama open pit au underground mining sites.
Jinsi ya kuanzisha biashara ya ushambazaji wa vipodozi. jinsi biashara hii inavyoendeshwa Hatua hii ni muhimu kwa biashara yoyote watu wanaofanya biashara hii waulize maswali yanakutatiza jenga urafiki nao pia unaweza kufuatia vipindi .
Oct 22, 2019· Rafiki yangu mpendwa, Ni imani yangu kwamba unaendelea vyema na mapambano ya kuhakikisha maisha yako yanakuwa bora na unafanikiwa zaidi. Hongera sana kwa hilo. Kama ambavyo nimekuwa nakupa taarifa, toleo la pili la kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA limeshatoka. Hiki ni kitabu ambacho kinakupa mwongozo sahihi wa kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa bado.
GEITA: Watu wanne wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya Nyamalinde kijiji cha Sobola nje kidogo ya wilaya ya Geita, mkoani Geita. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili asubuhi katika machimbo hayo yanayomilikiwa na wananchi licha ya kuwa tayari yalishapigwa .
Mtandao wa intaneti umeleta mapinduzi makubwa sana kwenye maendeleo. Unaweza kuanza kufanya kazi na ikakuingizia kipato bila ya kuwa hata na ofisi. Nilianza biashara ya kwenye mtandao wa intanet bila ya kuweka gharama yoyote zaidi ya kompyuta yangu na intanet ambayo naipata kwenye malipo mengine ya simu na sasa ina mafanikio makubwa sana.
Katika biashara ya vyakula vya mtandaoni, hakikisha unakuza jina la biashara yako ili watu waweze kukufikia kirahisi. Mfano, kama unauza keki, basi ifike mahali watu wakisema keki wanakuongelea wewe. Ama wakisema biriani wanakutambua kuwa wewe ni bora zaidi.
May 19, 2014· Ndugu msomaji wa AMKA MTANZANIA karibu kwenye sehemu ya ushauri ambapo kila jumatatu tunashauriana njia mbalimbali za kuvuka changamoto ambazo zinakuwa kikwazo kwetu kufikia malengo yetu. Leo tutashauriana changamoto ya jinsi ya kujua biashara inayolipa kwenye eneo unaloishi. Moja ya changamoto kubwa ambayo watu wengi wanakutana nayo ni kushindwa kujua biashara gani .
Kwa mfano kama unapenda sana kusafiri unaweza kuanzisha biashara ya usafirishaji. Kama unapenda sana mifugo au wanyama unaweza kuanzisha biashara ya ufugaji. Ni vizuri sana kufanya biashara unayoipenda kwa sababu utakuwa na shauku ya kujifunza zaidi na hutokata tamaa mapema hasa mambo yanapokuwa magumu.
Oct 25, 2018· Ni vyema utafute mtu aliyefanikiwa kwenye biashara unayotaka kufanya na umfanye huyo mtu kuwa kama baba / mama kwako,atakaye kufundisha kwa usahihi juu ya hiyo biashara. Mtu huyo kwako ni mtaji tosha. 08. Tumia vyema kipawa chako. Ikiwa umegundua kipawa chako ulichozaliwa basi unaweza kukitumia kama mtaji wako wa kuanzisha biashara.
Tunza Mahesabu ya Biashara Kwa Usahihi. Hakikisha mahesabu yote ya manunuzi,mauzo na malipo yanatunzwa kwa usahihi kwaajili ya kupata taarifa za maedeleo ya biashara yako. Fungua akaunti maalumu ya benki kwa ajiri ya biashara pekee. Jilipe Mwenyewe Mshahara. Dhumuni a kuanzisha biashara ni kuoneza chanzo cha mapato binafsi.
Tovuti Kuu ya Serikali Imesanifiwa, imetengenezwa na inahifadhiwa na Wakala ya Serikali zinasimamiwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na kuu la Tovuti Kuu hii ni kuwezesha upatikanaji wahuduma za umma kwa uwazi, urahisi na gharama nafuu kutoka Taasisi mbalimbali za umma kwa manufaa ya wananchi, wafanyabiashara, watumishi na wadau wengine wandani na nje ya .
May 14, 2011· Katika makala ya leo tutaangalia ni kwa jinsi gani watu wasio na mtaji mkubwa wanaweza kuanzisha biashara kubwa kubwa kwa kuanzisha vikundi mbalimbali vya maendeleo. Katika siku za hivi karibuni tumeona idadi kubwa ya wananchi hasa wale wa vipato vya chini wakiungana na kanzisha vikundi vidogo vidogo.
Aidha, Biteko amekiri kuwa jukumu la kutoa elimu kwa wawekezaji wasiojua taratibu na sheria za kufanya biashara hiyo ni yake baada ya mnunuzi wa madini hayo kubainika kutokuwa na elimu ya kutosha ya kufanya biashara hiyo. "Najua hujui taratibu za kufanya biashara hii, nitakuelimisha kwani hili ni moja kati ya majukumu yangu" alisema.
Kama una ndoto ya kuwa na vitu vya thamani sharti ufikirie kuanzisha biashara ili kuongeza mapato. Wazo la biashara huzaa ubunifu ambao hufanya biashara unayotaka na wazo la biashara basi tafuta taarifa zitakazokuwezesha kufanya maamuzi sahihi. Ni vizuri wazo liwe ndani ya kitu unachokipenda na unakiweza. Baadhi ya taarifa muhimu ...
Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndiyo uanzishe biashara na ndiyo sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha. Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu katika kuanzisha biashara, lakini kuna aina ya biashara ambazo zinahitaji gharama ndogo kuanzisha na kukupelekea kupata faida kubwa.
Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndiyo uanzishe biashara na ndiyo sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha. Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu katika kuanzisha biashara, lakini kuna aina ya biashara ambazo zinahitaji gharama ndogo kuanzisha na kukupelekea kupata faida kubwa.
Dec 15, 2013· Kabla ya ufunguzi wa mgahawa pia ni muhimu kufahamu washindani wa karibu ambao utapambana nao kibiashara kwa ajili ya kuanzisha mgahawa wako katika namna mpya. Tathmini kabisa faida na hasara katika kusimamia kazi,maamuzi na utekelezaji wa mikakati ya biashara.
Kama unataka kujifunza jinsi ya kufikia uhuru wa kifedha kwa familia yako na wewe mwenyewe kuchukua kitabu hiki na kuisoma mara moja. katika kitabu, utapata hatua saba mwongozo kutoka bora ya biashara na maisha strategist wa Marekani kuonyesha jinsi ya kuanzisha akiba ya .